hii gari hata mtoto mchanga ana siti yake ya kukaa poa kabisa..
Tumezoea kuona gari ikiwa na siti za
kawaida tu za kukaa watu wazima.. Wapo walioamua kuwajali watoto wadogo,
kama unasafiri na mtoto wako basi nae atakuwa na siti yake ya kumtosha
kabisa.
Ona hii picha nyingine ya model mpya ya Volvo.
Ndani ya gari kila mmoja anaenjoy kwenye siti yake yani
0 comments:
Post a Comment