(QUALITY SKILLS FOR QUALITY SERVICES)
Chuo bora cha uuguzi cha
Tanzanite kilichopo Morogoro mjini kinawatangazia nafasi za masomo kwa ngazi
ya certificate (astashahada) na basic
certificate wanafunzi wote waliomaliza
kidato cha nne kujiunga na masomo kwa
muhula wa mwezi wa tisa mwaka 2015.
KOZI ZINAZOTOLEWA NA CHUO
- Nursing and Midwifery
- Community Health Nursing
- v Medical Attendants
SIFA ZA KUJIUNGA NA CHUO
- Ufaulu wa kidato cha nne uwe wa kiwango kisichopungua alama ya ‘D’, kwa masomo ya biologia, kemia , na Fizikia kwa kozi za Astashahada (Technician Certificates)
- Wanafunzi wenye D mbili kwa masomo ya sayansi watasoma basic certificate kwa mwaka mmoja.
- Wanafunzi wenye D moja katika somo la sayansi watasoma masomo ya awali [foundation] kwa miezi minne.
- Kufaulu somo la Kiingereza na Hisabati ni sifa ya nyongeza.
SIFA
ZA CHUO
- Chuo kina usajili kamili kutoka serikalini [NACTE] na wizara ya Afya na ustawi wa jamii na baraza la ukunga na uuguzi la Tanzania
- Chuo kina walimu wa kutosha waliobobea katika mambo ya sayansi ya Afya
- Chuo kinatumia mtaala kutoka wizara ya Afya na ustawi wa jamii
- Chuo kina hosteli za kisasa zenye huduma nzuri ya maji na umeme
- Ada inaruhusiwa kulipwa kwa awamu
- Umalizapo masomo ajira ni uhakika
Chuo kinapatikana Morogoro
mjini kwa mawasiliano zaidi piga simu kwa namba
v 0713-571676 au 0767-335198
Fomu zinapatikana
chuoni kwa gharama
ya shilingi 20,000/=
Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba............................................
K.K.K.T KIHONDA
P. O. BOX 2495
MOROGORO
TANZANIA
REG. No. 0082/0060 (MOHSW)
REG. No. REG/HAS/88P (NACTE)
PHONE: 0713 – 571676
0767 – 335198
0719 – 291073
0762 – 178481
Email: tanzanitecollege20@gmail.com
WAHI NAFASI NI CHACHE.
0 comments:
Post a Comment